Tunakuletea Badoo mpya

Tayari watu duniani wamejiunga nasi!
 • m350

  Ujumbe unaotumwa kila siku
 • m377

  Watumiaji waliojiandikisha duniani
 • m60

  Watumiaji wa mwezi
 • 300k

  Kuingia kupya kwa kila siku
Katika Badoo tunaamini kwamba kila mtu ana mtu wake. Tumekuwa mtandao mkubwa zaidi kwa uvumbuzi wa kijamii kwa sababu tumeunda vifaa bora zaidi vya kuunganisha watu.
Uzoefu wetu wa miaka mingi umetupa busara ya kuona mengi na uzoefu, kitu ambacho kimetusaidia kupambana na vikwazo vingi kwenye nafasi ya uvumbuzi wa kijamii, hasa kuhusiana na masuala ya faragha, usalama na ulinzi. Hii imetusaidia kuongoza katika nyanja hii na kuboresha shughuli zetu na ubunifu, tukiwa ndio wa kwanza kuanzisha taswira nyingi leo, kama vile kupata wanaoendana walio kwenye maeneo ya karibu.
Tunakua haraka, na tungependa ujiunge nasi
Imefanikiwa kutumwa
Kosa, tafadhali jaribu tena